跳到主要内容
Nelum
坦桑尼亚的法律

Taarifa kwa Umma: Kuanza kwa Ununuzi wa Dhahabu

文本截至 2026-09-28

以研究形式发布的公开法律与官方指引,不构成法律、税务或金融建议。

研究内容本身以英文撰写。标题和标签已翻译,调查结果和引文未翻译。

关于这部法律

类型
其他
编号
BoT press release file 2023092515195791
颁布机构
Bank of Tanzania (Governor Emmanuel M. Tutuba)
国家
坦桑尼亚

在哪里阅读

文本

所收录的法律原文,按条款排列。每个条款都有自己的链接。

  1. <!-- page 1 --> BENKI KUU YA TANZANIA Or BANK OF TANZANIA 16 Barabara ya Jakaya Kikwete 16 Jakaya Kikwete Road S. L. P. 2303 P.O. Box 2303 40184 DODOMA 40184 DODOMA TANZANIA # za TANZANIA 7 = mjia 4 Ph : : 33 Simu: +255 22 223 3167 4 ona | one waji > 223 3167 Barua Pepe: botcommunications@bot.go.tz Email: botcommunications@bot.go.tz 25 Septemba 2023 TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UNUNUZI WA DHAHABU Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuanza kwa Mpango wa Ndani wa Ununuzi wa Dhahabu, unaolenga kuimarisha hifadhi ya fedha za kigeni kupitia upatikanaji na umiliki wa dhahabu. Kwa utaratibu huu, Benki Kuu itanunua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wa ndani na wafanyabiashara wa dhahabu kwa fedha za Kitanzania. Wadau wote wanaalikwa kushiriki kikamilifu katika mpango huu. ohh Emmanuel M. Tutuba Sep 25 2023 1:12 PM Emmanuel M. Tutuba GAVANA BENKI KUU YA TANZANIA

Taarifa kwa Umma: Kuanza kwa Ununuzi wa Dhahabu · Nelum