Mwongozo wa Uanzishaji na Uendeshaji wa Masoko ya Madini
Text as of 2026-09-28
Public law and official guidance, published as research. Not legal, tax or financial advice.
About this law
- Kind
- Other
- Number
- -
- Issued by
- Mining Commission; signed by the Chairman
- Country
- Tanzania
Where to read it
Text
The law's own text, section by section, as held. Each section has its own link.
1. Uanzishwaji wa Kanuni ya. 4(2) na (3) ya The (a) Soko la madini litaanzishwa pale soko la madini na Mining (Mineral and Gem ambapo Tume ya Madini kituo cha ununuzi Houses) Regulations, 2019 itakapojiridhisha kuwepo kwa wa madini hazijaeleza vigezo wafanyabishara wakubwa (mineral vinavyotofautisha uanzishwaji dealers) wanaonunua madini kutoka kwa wa masoko ya madini na vituo Wafanyabiashara wadogo (mineral vya ununuzi wa madini. brokers), wachimbaji wa madini walio na wasio rasmi (artisanal and small-scale miners) au waingizaji wa madini nchini (mineral importers). (b) Vituo vya ununuzi wa madini vitaanzishwa pale ambapo Tume ya Madini itakapojiridhisha kuwepo kwa wafanyabiashara wadogo wa madini wanaonunua madini kutoka kwa wachimbaji wa madini walio na wasio rasmi katika maeneo ya uzalishaji (elution plants, machekecho, mialo, machimbo na maeneo mengineyo) au waingizaji wa madini nchini (mineral importers). NB: Wamiliki wa leseni kubwa na leseni za kati za uchimbaji hawazuiwi kuuza madini kwenye masoko na vituo vya ununuzi wa madini.
2. Miundombinu Kanuni za Masoko ya Madini (a) Ili kuanzisha masoko ya madini ni muhimu ya za Mwaka 2019 (The Mining muhimu kuhakikisha miundombinu masoko ya (Mineral and Gem Houses) ifuatayo inakuwepo; - madini na vituo Regulations, 2019) vya ununuzi hazijafafanua namna masoko (i) Sehemu moja ya kuingia na ya madini yanavyopaswa kuwa kutoka sokoni (one entry and hususan miundombinu exit point); muhimu. (ii) Ofisi ya mapokezi na usajili wa wauzaji wa madini (reception and registration); (iii) Ofisi ya uthaminishaji wa madini (XRF and valuation office); (iv) Vyumba vya ofisi za Wafanyabiashara wakubwa wa madini vyenye sehemu salama za uhifadhi wa madini (mineral dealers offices); (v) Sehemu ya kuchomea dhahabu (kwa masoko ya dhahabu); (vi) Ofisi ya kufanya malipo na makabidhiano ya madini (Bills 4 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO settlement and clearing office); (vii) Ofisi ya ufungaji wa madini (sealing and export office); na (viii) Huduma za kibenki kuwezesha miamala ya kifedha kufanyika katika eneo moja. (b) Ili kuanzisha vituo vya ununuzi ni muhimu kuhakikisha miundombinu ifuatayo inakuwepo; - (i) Sehemu moja ya kuingia na kutoka kituoni (one entry and exit point); (ii) Ofisi ya uthaminishaji wa madini na usajili wa wauzaji wa madini; (iii) Sehemu ama Vyumba vya ofisi za Wafanyabiashara wadogo (mineral brokers’ offices) kununulia madini; na (iv) Sehemu ya kuchomea dhahabu (kwa vituo vya ununuzi wa dhahabu).
3. Watumishi Kanuni za Masoko ya Madini (a) Watumishi/Wafanyakazi wanaohitajika muhimu wa za Mwaka 2019 (The Mining sokoni; - masoko ya (Mineral and Gem Houses) madini na vituo Regulations, 2019) (i) Maafisa wa Serikali wa vya ununuzi hazijafafanua watumishi uthaminishaji wa madini; muhimu na aina gani ya (ii) Wahasibu; watumishi wanaohitajika kwenye masoko ya madini na (iii) Maafisa wa ufungaji wa madini; vituo vya ununuzi. (iv) Maafisa wawakilishi kutoka taasisi za Serikali (Wawakilishi wa Halmashauri husika za sehemu za uzalishaji wa madini, TRA, TISS au Polisi); (v) Msaidizi wa ofisi kwa ajili ya usajili wa wauza madini; (vi) Walinzi wa soko. (b) Watumishi/wafanyakazi wanaohitajika kwenye vituo vya ununuzi; - (i) Afisa wa Tume ya Madini; na (ii) Mwakilishi wa Halmashauri husika. N.B: Watumishi walioanishwa kwenye mwongozo 3(b) sio lazima kuwepo mda 5 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO wote kwenye vituo vya ununuzi kulingana na uwepo wa watumishi katika ofisi husika.
4. Ulinzi na Kanuni za Masoko ya Madini (a) Jukumu la kuhakikisha soko la madini usalama wa soko za Mwaka 2019 (The Mining linakuwa na ulinzi na usalama, litakuwa na vituo vya (Mineral and Gem Houses) la mmiliki wa jengo kwa gharama za ununuzi Regulations, 2019) wafanyabiashara wa madini kwa hazijafafanua mwenye kuratibiwa na Tume ya Madini na majukumu ya ulinzi na usalama Uongozi wa soko ama kituo baada ya ikiwa pamoja na miundombinu kushauriana na RAS; ya ulinzi na usalama wa soko na vituo vya ununuzi wa (b) Jengo la soko ama kituo cha ununuzi madini. linatakiwa kuwa na mlango wa dharura; (c) Jengo la soko ama kituo cha ununuzi linatakiwa kuwa na kamera za ulinzi (CCTV security cameras) pamoja na chumba cha udhibiti wa kamera hizo (control room) zitakazosimamiwa na mmiliki wa jengo; na (d) Jengo la soko au kituo cha ununuzi linatakiwa kuwa na walinzi.
5. Marekebisho na Kanuni za Masoko ya Madini (a) Jukumu la kuboresha miundombinu ya maboresho ya za Mwaka 2019 (The Mining soko ili kukidhi viwango vya utoaji wa miundombinu ya (Mineral and Gem Houses) huduma litasimamiwa na mmiliki wa soko na vituo vya Regulations, 2019) jengo, Tume ya Madini na Uongozi wa ununuzi hazijafafanua majukumu ya soko na wadau (Wafanyabiashara wa urekebishaji na uboreshaji wa madini) watakaotumia soko au kituo miundombinu ya soko na vituo cha ununuzi chini ya uratibu wa RAS; vya ununuzi wa madini. na (b) Vitendea kazi katika Soko la Madini ni jukumu la RMO wa Soko husika.
6. Utambulisho Kanuni za Masoko ya Madini Masoko ya madini yatakayothibitika kukidhi rasmi wa masoko za Mwaka 2019 (The Mining vigezo vya uanzishaji wake yatakabidhiwa ya madini (Mineral and Gem Houses) vyeti vya utambulisho (Mineral Markets Regulations, 2019) Certificates), ambavyo vitasainiwa na Katibu hazijafafanua namna ambavyo Mtendaji wa Tume ya Madini na kutundikwa masoko ya madini sehemu ya mapokezi ya soko la madini yatatambulika rasmi. husika kama utambulisho rasmi wa soko hilo. 6 <!-- page break --> B. UENDESHAJI WA MASOKO NA VITUO VYA UNUNUZI WA MADINI HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO
7. Aina ya madini Kanuni za Masoko ya Madini (a) Aina ya madini yanayotakiwa kuuzwa yanayotakiwa za Mwaka 2019 (The Mining kwenye masoko na vituo vya ununuzi wa kuuzwa kwenye (Mineral and Gem Houses) madini: - masoko na vituo Regulations, 2019) vya ununuzi wa hazijafafanua aina ya madini ya (i) Madini ya metali (Dhahabu, madini metali yanayotakiwa kuuzwa Fedha na Bati); kwenye masoko ya madini na (ii) Madini ya almasi; vituo vya ununuzi. Lengo kubwa la uanzishwaji wa (iii) Madini ya vito; na masoko ya madini ni kudhibiti (iv) Madini mengineyo utoroshaji na biashara haramu yatakayoonekana yanafaa ya madini (hususan madini kuuzwa sokoni na Tume ya yenye ujazo mdogo ilihali Madini. thamani yake ikiwa kubwa).
8. Usajili/utambuzi Kanuni za Masoko ya Madini (a) Mfanyabiashara, mchimbaji au mtu wa watu za Mwaka 2019 (The Mining yeyote anayefika katika soko kwa lengo wanaoingia (Mineral and Gem Houses) la kuuza madini atatakiwa kufanya usajili kwenye masoko Regulations, 2019) zimeeleza wa taarifa zake katika kitabu cha usajili. na vituo vya usajili wa madini peke yake, Fomu Na. 1; ununuzi wa yanayouzwa sokoni ama vituo madini. vya ununuzi. (b) Usajili wa watu wanaoingia sokoni ndio utakaobainisha watu wanaotembelea masoko na vituo vya ununuzi kwa madhumuni tofauti na kufanya biasjhara ya madini. (c) Wauzaji wa madini watatakiwa kuonyesha nakala ya leseni iliyotolewa na Tume ya Madini, mara tu waingiapo kwenye masoko na vituo vya ununuzi. (d) Wauzaji wasiokuwa rasmi (artisanal miners) wanatakiwa kufuata taratibu za usajili kama ilivyokuwa wauzaji wengine. Aidha, watatakiwa kuonesha kitambulisho (Kitambulisho cha Utaifa/Leseni ya Udereva/Kadi ya Mpiga kura/Hati ya kusafiria/Barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji). (e) Taarifa zao zitajazwa katika Fomu Na. 3 na kukamilishwa baada ya uthaminishaji.
9. Uthaminishaji wa Kanuni za Masoko ya Madini (a) Baada ya wauzaji wa madini kufanya madini za Mwaka 2019 (The Mining usajili na kuwasilisha madini yao, (Mineral and Gem Houses) taratibu za uthaminishaji zitaendelea; Regulations, 2019) hazikueleza 7 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO bayana ni taratibu zinazotakiwa (b) Wauzaji wa madini ya dhahabu kufuatwa wakati wa kuuza wanaotaka kuyeyusha madini (smelting) madini sokoni hususan taratibu kwa ajili ya kuondoa uchafu kabla ya za uthaminishaji wa madini. kufanya mauzo kwa wafanyabiashara wakubwa watapatiwa kibali cha kwenda kuyeyusha madini kwenye majiko (smelters) yaliyopo ndani ya jengo la soko la madini. Fomu Na. 11; (c) Madini yatafanyiwa uthaminishaji ndani ya soko husika na Maafisa wa Tume ya Madini na kujaza fomu maalum za uthaminishaji (Fomu Na. 2A kwa madini ya metali, Fomu Na. 2B kwa madini ya almasi na vito na Fomu Na. 2C kwa Madini ya Bati na kusainiwa na wahusika wote walioainishwa kwenye fomu hizo. (d) Madini yatakayofanyiwa uthaminishaji ndani ya soko husika na Maafisa wa Tume ya Madini yatatolewa vyeti vya uthaminishaji (Fomu Na. 5A na Fomu Na. 5B); (e) Taratibu za mauzo zitakapokamilika, mnunuzi atatakiwa kuhakikisha kuwa malipo stahiki ya Serikali (mrabaha, ada ya ukaguzi na ushuru wa huduma kwa Halmashauri husika) yamelipwa kwa kuzingatia taarifa zilizopo katika fomu ya uthaminishaji; (f) Muuzaji wa madini atatakiwa kuwasilisha fomu ya uthaminishaji wa madini ikiwa imekamilika na kujazwa taarifa zote za mnunuzi wa madini yake kwenye ofisi ya uthaminishaji wa madini kwa ajili ya kuandaliwa hati ya malipo (ambayo muda wake uanzie siku moja hadi siku tano kutegemeana na mazingira); (g) Endapo muuzaji wa madini hatakuwa amepata mnunuzi wa madini yake kwa wakati huo, atatakiwa kurejesha fomu hiyo na madini hayo ili kupatiwa fomu ya tamko la kutunza madini (Fomu Na. 9 - mineral declaration form) pale ambapo atahitaji kusubiri kupata mnunuzi au kibali cha kusafirisha madini (transport permit) kwa ajili ya kwenda kuuza katika soko jingine. Taratibu hizo zitafanyika tu, 8 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO pale ambapo malipo ya awali ya mrabaha na ada ya ukaguzi kuwa yamekamilika; (h) Endapo madini yatakayouzwa kwenye masoko ya madini na kununuliwa kwa ajili ya matumizi ya ndani (domestic use/disposal) atapatiwa kibali cha matumizi ya ndani kupitia Fomu Na. 9 baada ya taratibu zote za ununuzi na malipo stahiki ya Serikali kukamilishwa sokoni; na (i) Madini yaliyothaminishwa yanaweza kuifadhiwa katika safe deposit zinazopatikana katika mabenki kwa sababu ya usalama.
10. Usajili/utambuzi Kanuni za Masoko ya Madini (a) Wanunuzi wa madini wote wa wanunuzi za Mwaka 2019 (The Mining watatambulika kulingana na taratibu za kwenye masoko (Mineral and Gem Houses) Sheria na Kanuni za Biashara na na vituo vya Regulations, 2019) hazijaeleza Masoko ya Madini. Wafanyabiashara ununuzi wa namna ambavyo wanunuzi wa wanunuzi wa madini wote (isipokuwa madini. madini watatambulika rasmi wageni wasio raia na wasio na makazi kwenye masoko ya madini na ya kudumu nchini) watatakiwa kuwa na vituo vya ununuzi. ofisi katika soko au kituo husika cha ununuzi wa madini; (b) Wanunuzi wa madini (wafanyabiashara na wafanyakazi wao) watatakiwa kuvaa vitambulisho vyao shingoni muda wote watakaokuwa sokoni ama vituo vya ununuzi; (c) Vitambulisho vya wafanyabiashara wa madini na wafanyakazi wao vitatakiwa kuonesha; - (i) Jina la Soko/Kituo cha Ununuzi (mfano SOKO LA DHAHABU CHUNYA), (ii) Namba ya Kitambulisho itajumuisha vifupisho vya mkoa /vifupisho vya jina la soko au kituo cha ununuzi/ namba ya kitambulisho yenye tarakimu nne (Mfano: GTA/SDG/0001 kwa soko la Geita), (iii) Picha ya rangi (passport size) yenye background ya blue, (iv) Jina la Mfanyabiashara/ 9 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO Mfanyakazi, (v) Jina la Kampuni/Mmiliki wa Leseni na Namba ya Leseni, (vi) Namba ya ofisi sokoni na nafasi yake kwenye ofisi, na (vii) Saini ya mwenye kitambulisho. (d) Vitambulisho vitatolewa na Uongozi wa soko au kituo cha ununuzi husika na kudhibitiwa na Tume ya Madini. Tume ya Madini itatoa namba za vitambulisho na vitambulisho hivyo kusainiwa na RMO wa Mkoa husika; (e) Vitambulisho vitakuwa na ukubwa wa urefu (length) wa inchi 3.2 na upana (width) wa inchi 2 na ulalo (diagonal) wa inchi 3.9. (f) Kwa wanunuzi wageni wasio raia wa Tanzania na wasio na leseni za biashara ya madini watatambulika na kusajiliwa kwa kutumia Hati za Kusafiria (Passport zenye Tourist Visa au Business Visa).
11. Mfumo wa Kanuni za Masoko ya Madini (a) Takwimu za madini yanayouzwa sokoni utunzaji wa za Mwaka 2019 (The Mining zitatunzwa kwenye Rejesta Fomu Na. 3 takwimu za (Mineral and Gem Houses) kwa madini yote; biashara ya Regulations, 2019) hazijaeleza madini sokoni usimamizi wa takwimu za (b) Taarifa za kwenye Rejesta zinatakiwa madini yanayouzwa kwenye kuhifadhiwa kwa njia ya mfumo wa masoko na vituo vya ununuzi. kielekroniki na nakala ngumu; (c) Takwimu za madini yanayoletwa sokoni kutoka mkoa mwingine zitarekodiwa kama takwimu za mauzo ya soko ambapo madini hayo yametoka; na (d) Takwimu za mauzo ya madini zinazojumuisha takwimu zote za mauzo ya vituo vyote vya ununuzi wa madini vya soko husika la madini, zitaandaliwa na kuhifadhiwa kwenye mfumo wa elektroniki na pia kuwasilishwa kwa Katibu Mtendaji kila mwezi kabla ya tarehe 5 ya mwezi unaofuata.
12. Utunzaji wa Kutokamilika kwa (The mining (a) Madini yasiyoweza kuhifadhiwa kwenye madini katika (Transfer and deposit of maghala ama madini yenye uzito maghala Minerals into the government mkubwa yasiyoweza kufikishwa sokoni, (warehouse) mineral warehouse) Regulation yatakaguliwa na kuthaminishwa na Afisa na kutokuwepo kwa maghala wa Tume ya Madini na kuweka udhibiti (warehouse) ya utunzaji wa 10 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO madini. wa lakiri ili kuhakikisha usalama wa madini hayo yanapohifadhiwa na Vilevile, madini yenye ujazo mkubwa (hususan, madini ya kutoathirika kwa ubora wake. Taratibu vito yenye ubora wa chini kama hizi zitakamilishwa kwa mmiliki wa sunstone, industrial quartz, madini hayo kujaza fomu ya tamko la aventurine, chrysoprase, kuwa na madini Fomu Na. 9. kunzite, feldspar, moonstone, (b) Madini yenye ujazo mkubwa yanaweza rhodolite, chrysocolla, zoisite, kuhifadhiwa kwenye maghala binafsi amandite, schorl tourmaline, rough amethyst) yamekuwa ni kwa kutumia Fomu Na. 9, baada ya changamoto kubwa kufikishwa kukaguliwa, kuthaminishwa na sokoni, kutokana na ufinyu wa kuwekewa lakiri na Tume ya Madini ili nafasi na kutokuwepo kwa kuhakikisha usalama wake kabla ya maghala ya kuhifadhi madini kuuzwa na kusafirishwa kwa kufuata katika masoko na vituo vya taratibu za Sheria na Kanuni za Biashara ununuzi. na Masoko ya Madini. (c) Madini yanayohitajika kuhifadhiwa Benki Kuu ya Tanzania, fomu ya makabidhiano ya madini (Fomu Na. 4) itatumika wakati wa uhifadhi na uondoaji wa madini.
13. Bei elekezi za Kanuni za Masoko ya Madini (a) Bei elekezi za uuzaji wa madini kwenye madini kwenye za Mwaka 2019 (The Mining masoko ya madini zitatolewa kulingana masoko ya (Mineral and Gem Houses) na hali ya bei ya soko la madini husika madini na vituo Regulations, 2019) zimeeleza ndani au nje ya nchi ambako madini vya ununuzi. jukumu la utoaji wa bei elekezi hayo yatauzwa; kwa Tume ya Madini, bila kufanunua taratibu za (b) Bei elekezi za madini kwenye masoko ya upatikanaji na utoaji wa bei madini zitaoneshwa katika vibao kwa elekezi za madini husika maandishi makubwa (yenye herufi za kwenye masoko na vituo vya urefu wa sentimita 10 na unene wa ununuzi. sentimita 5) yaliyochapishwa vizuri isipokuwa tu sehemu ya tarehe na bei ndizo zitaandikwa kwa mkono kutokana na kubadilika kwake kila siku; (c) Bei elekezi za uuzaji wa madini ya dhahabu zitakuwa na punguzo la asilimia 10 kwa wanunuzi kwenye masoko ya madini (mineral dealers) na asilimia 12 kwa wanunuzi kwenye vituo vya ununuzi wa madini (mineral brokers) ya bei ya soko. (d) Bei elekezi za uuzaji wa madini ya bati zitakuwa na punguzo la asilimia 30 ya bei ya soko kwa wanunuzi kwenye masoko ya madini (mineral dealers). (e) Bei hizo za soko zitatolewa na Tume ya 11 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO Madini (kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa madini ya dhahabu, Argus Media, Shanghai Metals Market na Asian Metals kwa madini ya bati, fedha na shaba, na madini mengine ya metali, Rapaport kwa madini ya almasi, na Gem guide kwa madini ya vito au masoko ya kimataifa ambayo Tume ya Madini itaona yanafaa); NB: Bei elekezi yenye punguzo kwenye madini ya metali zinazotolewa na Tume ya Madini kwenye masoko ya madini ni kwa ajili ya kulinda wauzaji wa madini wasipunjwe na hazitatumika kukokotoa tozo za Serikali. Bei elekezi za uuzaji wa madini mengine ya metali kwenye masoko ya madini zitatolewa na Tume ya Madini kila baada ya kipindi cha miezi 3 ama muda wowote ambapo mabadiliko makubwa ya bei hizo yanapotokea. Bei elekezi za uuzaji wa madini ya almasi na vito kwenye masoko ya madini zitatolewa na Tume ya Madini katika kila kipindi cha miezi 3 au muda wowote ambapo mabadiliko makubwa ya bei hizo yatakapotokea. Malipo ya mrabaha, ada ya ukaguzi na tozo za huduma za Halmashauri, yatalipwa kwa thamani ya viwango vya bei za madini zilizotolewa na Tume ya Madini.
14. Usafirishaji wa Kanuni za Masoko ya Madini (a) Usafirishaji wa madini kutoka eneo moja madini ndani ya za Mwaka 2019 (The Mining kwenda eneo jingine kwa madhumuni nchi (Mineral and Gem Houses) yoyote lazima upate kibali cha Regulations, 2019) zimeeleza usafirishaji wa madini hayo kutoka Ofisi mamlaka ya usimamizi wa ya madini ya eneo husika. Fomu Na. 6. usafirishaji wa madini ndani ya nchi kwa Tume ya Madini, bila (b) Usafirishaji wa madini ya dhahabu kufanunua taratibu za kutoka maeneo ya mialo kwenda Soko la usafirishaji wa madini ndani ya madini na kituo cha ununuzi lazima nchi. upate kibali kutoka kwa msimamizi au mmliki wa mwalo husika. Fomu Na. 12. Aidha, kibali kitatumika kusafirisha madini ndani ya Mkoa wa Madini wenye mwalo. 12 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO (c) Wachimbaji wa madini waliopo eneo ambalo hawawezi kupata fomu za usafirishaji wa madini wataruhusiwa kutoa taarifa za madini waliyonayo kwa kutumia SMS kwa Afisa Madini wa Mkoa husika ili kuwawezesha kutambulika na kusafirisha madini kutoka eneo la machimbo kwenda Soko la madini ndani ya Mkoa huo huo. Usafirishaji wa madini utaruhusiwa baada ya SMS hiyo kujibiwa na kuruhusiwa kusafirisha Madini. (d) Usafirishaji wa madini ambayo hajafanyiwa uthaminishaji kutoka eneo moja kwenda eneo jingine utafanyika baada ya kufungwa lakiri za Serikali na Afisa wa Madini kwa kushirikiana na Maafisa kutoka taasisi nyingine za Serikali (TISS au Polisi na Halmashauri husika) na taarifa zake zitajazwa katika mineral sealing form. Fomu Na. 7. NB: Madini ya dhahabu yanayosafirishwa kutoka soko moja kwenda lingine hayatafanyiwa uthaminishaji kwa mara ya pili na hivyo hayatalipiwa tofauti ya malipo endapo kutakuwa na ongezeko kati ya malipo ya awali na wakati wa ufungaji wa lakiri kwa ajili ya kusafirishwa ndani ya nchi.
15. Ufungaji lakiri na Kanuni za Masoko ya Madini (a) Ufungaji wa lakiri kwenye madini usafirishaji wa za Mwaka 2019 na Kanuni za utafanyika chini ya usimamizi wa Tume madini nje ya Biashara ya Madini na ya Madini kwa kushirikiana na taasisi nchi Makinikia ya Madini nyingine za Serikali (TRA, TISS au Jeshi hazijafafanua taratibu za la Polisi na Halmashauri husika); ufungaji wa lakiri kwa madini yanayosafirishwa na kuuzwa (b) Kabla ya ufungaji wa lakiri kwenye nje ya nchi. madini kufanyika, Afisa Madini atatakiwa kuhakikisha kuwa uthaminishaji wa mwisho umefanyika kwa aina zote za madini (hususan madini ya dhahabu au metali zingine zinazoambatana na aina zingine za madini) na kuhakiki malipo stahiki ya Serikali (mrabaha na ada ya ukaguzi) kama yamelipwa Fomu Na. 8; (c) Madini husika yatatakiwa kulipiwa tofauti ya malipo stahiki ya Serikali endapo 13 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO kutakuwa na ongezeko kati ya malipo ya awali na wakati wa ufungaji wa lakiri kwa ajili ya kusafirishwa na kuuzwa; (d) Afisa Madini anayesimamia ufungaji wa lakiri kwenye madini atatakiwa kuhakikisha kuwa vibali na nyaraka zote zinazohusika kuruhusu madini kusafirishwa nje ya nchi, zimesainiwa na kuambatishwa kabla ya madini husika kufungwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi: Nyaraka hizo ni kama zilivyoainishwa: (i) Fomu ya maombi ya kusafirisha madini nje ya nchi (Application form for export permit) imejazwa na kusainiwa pamoja na malipo ya kibali hicho kufanyika; (ii) Kuhakikisha kuwa hati za madai (invoice) za mauzo ya madini hususan madini ya vito na almasi imeambatishwa; (iii) Kuhakikisha kuwa vyeti vya uthaminishaji wa madini husika vimeambatishwa (ambavyo ni); - • Gemstone Valuation Certificate kwa madini ya vito, • Diamond Valuation Certificate na Kimberley Processing Certificate kwa madini ya almasi, • ICGLR Regional Certificates kwa madini ya bati na mengine yanayohitaji cheti hiki, na • Certificate of origin kwa madini ya tanzanite. (e) Afisa Madini anayesimamia ufungaji wa lakiri kwenye madini atatakiwa kujiridhisha kuwa stakabadhi za malipo stahiki ya Serikali (mrabaha, ada ya ukaguzi na ada ya kibali cha kusafirisha madini nje ya nchi) zimeambatishwa kabla ya ufungaji wa lakiri kwenye madini yatakayosafirishwa nje ya nchi. (f) Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini au Afisa Madini aliyekasimishwa atatoa 14 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO kibali cha usafirishaji wa madini nje ya nchi (export permit) baada ya kujiridhisha kuwa taratibu zote zimefuatwa na nyaraka husika zimekamilika na kuambatishwa; na (g) Wazalishaji wa madini wenye leseni za uchakataji na uchenjuaji madini (processing license) na wenye leseni ndogo za uzalishaji wa madini (primary mining license), wanaruhusiwa kusafirisha na kuuza madini yao nje ya nchi kwa kupewa vibali vya kusafirishia madini (export permit) kwa kufuata Sheria na Kanuni za Biashara na Masoko ya Madini. (h) Wanunuzi wageni wasio raia wa Tanzania na wasio na leseni za biashara ya madini watanunua madini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa wa madini (mineral dealers) na kusafirisha kwa kutumia vibali vya kusafirishia madini (special export permit) kwa kufuata Sheria na Kanuni za Biashara na Masoko ya Madini.
16. Udhibiti wa Kanuni za Masoko ya Madini (a) Madini yatakayonunuliwa kwenye madini za Mwaka 2019 na Kanuni za masoko ya madini kwa ajili ya yaliyonunuliwa Biashara ya Madini na kuongezewa thamani hapa nchini kutoka kwenye Makinikia ya Madini yataruhusiwa kwa kibali cha kupitia masoko ya hazijafafanua taratibu za utoaji Fomu Na. 9 baada ya taratibu zote za madini kwa ajili wa madini yaliyonunuliwa ununuzi na malipo stahiki ya Serikali ya kuongezewa kutoka kwenye masoko ya kukamilishwa sokoni. thamani hapa madini kwa ajili ya kuongezewa nchini thamani hapa nchini na bidhaa zake kuuzwa katika maduka mbalimbali ya usonara.
17. Minada ya Kanuni za Masoko ya Madini (a) Tume ya Madini itaandaa Minada ya madini (Auction) za Mwaka 2019 (The Mining Madini na kutangaza (publish) kalenda (Mineral and Gem Houses) yenye ratiba za kuendesha minada hiyo Regulations, 2019) zimeeleza kwa kuzingatia sababu/vigezo juu baadhi ya taratibu za vifuatavyo; - usimamizi wa minada ya madini nchini. Hata hivyo, (i) Uwepo wa kiasi kikubwa cha Kanuni hizo hazikueleza vigezo madini ambacho kitavutia vitakavyotumika kufanya wanunuzi wengi kushiriki minada ya madini. manunuzi kwa njia ya ushindani wa mnada; 15 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO (ii) Uhitaji wa kuhamasisha na kukuza biashara ya madini nchini kwa kuwakutanisha wafanyabiashara wa madini wa hapa nchini na wanunuzi wa kimataifa; (iii) Uhitaji wa kutangaza masoko ya ndani ya madini kupitia ushiriki wa wafanyabiashara wa kimataifa; na (iv) Kupata uhalisia wa bei za madini zinazotumika nchini kupitia ushindani katika ununuzi wa madini hayo. (b) Tume ya Madini itaandaa minada ya madini ya ndani ya nchi pale itakapoona inafaa; (c) Mnada wa kimataifa utafanyika angalau mara 1 kwa mwaka kwa kuzingatia ratiba za minada mingine ya kimataifa ili kuhusisha washiriki wengi wa kimataifa.
18. Uongozi wa soko Kanuni za Masoko ya Madini (a) Tume ya Madini kwa kushirikiana na na kituo cha za Mwaka 2019 (The Mining Ofisi ya RAS watasimamia zoezi la ununuzi wa (Mineral and Gem Houses) uchaguzi wa viongozi wa soko na madini Regulations, 2019) hazijaeleza kuwapangia majukumu ya usimamizi wa juu ya uongozi wa masoko na shughuli zote za sokoni na vituo vya vituo vya ununuzi wa madini, ununuzi. taratibu za upatikanaji wa viongozi hao na majukumu (b) Viongozi hao watatokana na yao. wafanyabiashara (dealers na brokers) katika soko au kituo cha ununuzi husika; (c) Viongozi wa soko watatakiwa kuwa na sifa zifutazo: (i) Awe na leseni hai ya biashara ya madini (dealers ama brokers licence); (ii) Awe anajua kusoma na kuandika; na (iii) Awe mwanachama hai wa Chama cha Wafanyabiashara wa madini nchini (TAMIDA, CHAMMATA au TAWOMA). (d) Uchaguzi wa viongozi wa soko na vituo vya ununuzi utafanyika kila baada ya mwaka mmoja ndani ya kipindi cha uhai wa leseni ya biashara ya madini; (e) Muundo wa uongozi wa soko na kituo 16 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO cha madini utakuwa na viongozi wafuatao; - (i) Mwenyekiti (ii) Katibu; na (iii) Mweka Hazina. (f) Pamoja na majukumu mengine yatakayopangwa na Tume ya Madini, Uongozi wa masoko na vituo vya ununuzi utakuwa na majukumu ya msingi yafuatayo; - (i) Kupokea na kutatua malalamiko ya soko ama kituo cha ununuzi husika kwa kushirikiana na Tume ya Madini; (ii) Kuratibu huduma mbalimbali za masoko na vituo vya ununuzi zikiwemo usafi, umeme na maji; (iii) Kufanya vikao na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa eneo husika; (iv) Kuratibu shughuli za ulinzi na usalama wa masoko na vituo vya ununuzi; na (v) Kutunza miondombinu ya soko.
19. Utatuzi wa Kanuni za Masoko ya Madini (a) Migogoro yote inayotokea kuhusiana na migogoro na za Mwaka 2019 (The Mining biashara ya madini katika soko ama upokeaji wa (Mineral and Gem Houses) vituo vya ununuzi wa madini kati ya malalamiko Regulations, 2019) hazijaeleza wafanyabiashara wa madini au katika soko na juu ya utatuzi wa migogoro na wafanyakazi waliopo sokoni vituo vya ununuzi upokeaji wa malalamiko itawasilishwa kwa uongozi wa soko au kwenye masoko na vituo vya kituo cha ununuzi husika na itatatuliwa madini. kwa ushirikiano wa viongozi wa soko au kituo cha ununuzi husika na Ofisi ya RMO husika; (b) Malalamiko yote yatatunzwa kwenye daftari la kumbukumbu (Mineral Market Complaints Register) katika soko la madini na taarifa hiyo itawasilishwa Tume ya Madini kila mwisho wa mwezi Fomu Na. 10; na (c) Utatuzi wa migogoro na malalamiko yote utazingatia Sheria na Kanuni za Biashara na Masoko ya Madini.
20. Uhamishaji wa Kanuni za Masoko ya Madini (a) Mfanyabiashara mkubwa wa madini madini (internal za Mwaka 2019 (The Mining atajaza fomu ya maombi ya kuhamisha transfer of (Mineral and Gem Houses) madini akiambatisha na nyaraka 17 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO minerals) ndani Regulations, 2019) hazijainisha mbalimbali na kuiwasilisha kwa Ofisi ya ya soko la madini taratibu za kuhamisha madini Afisa Madini Mkazi. Fomu Na. 13; kwa ndani ya soko kwa wafanyabiashara wafanyabiashara wakubwa. (b) Afisa Madini wa eneo husika atatakiwa wakubwa. kuhakikisha nyaraka zote zinazohusika kuruhusu madini kuhamishwa kwenda kwa mfanyabiashara mwingine mkubwa zimeambatishwa na kisha kugonga mhuri wa Tume ya Madini baada ya kujiridhisha. (c) Afisa Madini atahakikisha taarifa za manunuzi za mfanyabiashara aliyehamisha madini zinahamishwa na kuhifadhiwa kwenda kwa mfanyabiashara aliyehamishiwa madini kwa ajili ya kumbukumbu.
21. Vifaa vya Kanuni za Masoko ya Madini (a) Vifaa vya uthaminishaji wa madini kwa uthaminishaji wa za Mwaka 2019 (The Mining wafanyabiashara wakubwa na wadogo madini kwa (Mineral and Gem Houses) wa madini ya metali; wafanyabiashara Regulations, 2019) na Kanuni wadogo na za Madini na Makinikia ya i. Mzani wa uzito uliothibitishwa na wakubwa. Madini za mwaka, 2018 (The Wakala wa Vipimo (WMA); Mining (Minerals and Mineral ii. Kifaa cha kupima ubora wa Concentrates Regulations, madini (Mashine ya XRF au 2018) hazijabainisha aina ya mzani wa maji (Gold densimeter)); vifaa vya uthaminishaji wa na madini wanavyotakiwa kuwa iii. Vifaa vingine vitakavyoonekana navyo wakati wa ukataji na vinafaa. uhuhishaji wa leseni. (b) Vifaa vya uthaminishaji wa madini kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa madini ya vito; i. Mzani wa uzito uliothibitishwa na Wakala wa Vipimo (WMA); ii. Gemological torch; iii. Tweezer; iv. Table lamp; na v. Vifaa vingine vitakavyoonekana vifaa. N.B: Mizani yote inayotumika sokoni iwe inapimwa kila baada ya miezi mitatu kupitia WMA.
22. Ukaguzi wa Kanuni za Masoko ya Madini wafanyabiashara za Mwaka 2019 (The Mining (a) Ukaguzi wa wafanyabiashara wakubwa wakubwa na (Mineral and Gem Houses) na wadogo utafanyika kwa kuzingatia wadogo kwenye Regulations, 2019) na Kanuni vitu vilivyoainishwa kwenye Fomu Na. masoko na vituo za Madini na Makinikia ya 14. Ukaguzi utafanyika mara moja kwa vya ununuzi Madini za mwaka, 2018 (The kila robo mwaka ama zaidi kwa 18 <!-- page break --> HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO Mining (Minerals and Mineral kutegemea na uhitaji; na Concentrates Regulations, 2018) haijabainisha vitu vya (b) Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa eneo kuzingatia wakati wa ukaguzi husika itamtaarifu kwa maandishi mmiliki kwa wafanyabiashara wa leseni ya biashara ya madini juu ya wakubwa na wadogo wa uwepo wa hoja iliyotokana na ukaguzi na madini kwenye masoko na mmiliki wa leseni atatakiwa kujibu hoja vituo vya ununuzi. husika kwa maandishi ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya kupokea hoja husika.
23. Muda wa Kanuni za Masoko ya Madini Muda wa uendeshaji wa masoko ya madini biashara ndani za Mwaka 2019 (The Mining utakuwa kama ifuatavyo: - ya soko au kituo (Mineral and Gem Houses) cha ununuzi Regulations, 2019) hajizaeleza (a) Jumatatu hadi Ijumaa (Saa 2.00 asubuhi juu ya muda ambao masoko na hadi Saa 11.00 jioni); na vituo vya ununuzi vitakuwa (b) Jumamosi (Saa 2.00 asubuhi hadi Saa vinafanya kazi. 8.00 mchana) NB: Endapo itabidi soko au kituo cha ununuzi kufanya kazi nje ya muda huo, kutakuwa na makubaliano kati ya Ofisi husika ya RMO, RAS na uongozi wa masoko na vituo vya ununuzi.
24. Ununuzi wa Kanuni za Masoko ya Madini Wamiliki wa leseni za refinery, smelters na madini kwenye za Mwaka 2019 (The Mining lapidary wataruhusiwa kununua madini kwa refinery, smelters (Mineral and Gem Houses) kufuata taratibu za Sheria ya Madini Sura ya na lapidary Regulations, 2019) hajizaeleza 123, Kanuni za Masoko ya Madini za juu ya usimamizi wa madini Mwaka 2019 na Kanuni za Biashara ya yanayouzwa kwenye refinery, Madini na Makinikia ya Madini za Mwaka smelters na lapidary, isipokuwa 2019, kutoka kwa wafanyabiashara wa idhini ya kusafisha na madini, na wachimbaji walio rasmi na wasio uchenjuaji wa madini na rasmi. makinikia itakayotolewa na Tume ya Madini kwa refinery, leaching na elution plants. 19 <!-- page break --> REJESTA YA WATU WANAOINGIA SOKONI FOMU NA. 1 NAMBA YA NAMBA YA SIMU ENEO AU WILAYA SABABU ZA KUINGIA MUDA WA MUDA WA NA. TAREHE JINA JINSIA KITAMBULISHO SAINI (OPTIONAL) ANAKOTOKEA SOKONI KUINGIA KUTOKA (VISITORS) 20 <!-- page break --> FOMU NA. 2A JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MADINI TUME YA MADINI FOMU YA UTHAMINISHAJI MADINI YA METALI FOMU NA. MC/ OFISI YA RMO A: TAARIFA YA UTHAMINISHAJI, MRABAHA, ADA YA UKAGUZI NA TOZO YA HUDUMA AINA YA MADINI YA METALI: TAREHE: TOZO YA NA. UZITO WA MADINI (GRAMU) UBORA (%) BEI (TSHS) THAMANI (TSHS) MRABAHA (TSHS) ADA YA UKAGUZI (TSHS) HUDUMA (TSHS) 1 2 3 4 Jumla Jina la Muuzaji wa Madini Saini: Tarehe: Jina la Afisa wa Tume ya Madini Saini: Tarehe: Jina la Mwakilishi wa Halmashauri Saini: Tarehe: Jina la Mwakilishi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Saini: Tarehe: Jina la Mwakilishi wa Jeshi la Polisi (TPF) Saini: Tarehe: B: TAARIFA ZA MAUZO Chanzo cha Madini: Eneo Madini Yalipotoka: Wilaya: Mkoa: Jina la Muuzaji: Namba ya Leseni/Kitambulisho: Simu: Saini: Jina L Mnunuzi Namba ya Leseni/Kitambulisho: Simu: Saini: 21 <!-- page break --> FOMU NA. 2B UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION VALUATION FORM FOR GEMSTONE MINERALS FORM NO. MC/RMO OFFICE NAME LICENCE NO. DATE: PHONE: PARTICULARS WEIGHT UNIT PRICE VALUE ROYALTY INSPECTION FEE SERVICE LEVY S/N MINERAL TYPE SIZE CLARITY CUT COLOUR GRADE PIECES KG GM CTS USD USD/TSHS TSHS TSHS TSHS 1 2 3 4 5 TOTAL VALUE IN TSH: SEAL NO. MC: EXCHANGE. RATE: MINERAL SOURCE: PLACE: DISTRICT: REGION: VALUATOR (S): MINING COMMISSION WITNESS: MINING COMMISSION SELLER LICENCE: BUYER LICENCE: Name (S): Name: Name: Name: Signature (S): Signature: Signature: Signature: WITNESSES FROM OTHER GOVERNMENT INSTITUTIONS: NAME GOVERNMENT INSTITUTIONS SIGNATURE 1 DISTRICT/TOWN COUNCIL REPRESENTATIVE 2 TISS REPRESENTATIVE 3 POLICE FORCE REPRESENTATIVE 22 <!-- page break --> NA. TAREHE JINA LA MUUZAJI JINSIA AINA YA KITAMBULISHO NAMBA YA KITAMBULISHO NAMBA YA SIMU NAMBA YA LESENI YA MUUZAJI CHANZO CHA MADINI ENEO REJESTA YA KUTUNZA TAKWIMU ZA BIASHARA YA MADINI WILAYA AINA YA MADINI 23 Kg Gram UZITO Carat Ounce UBORA (%) THAMANI (TZS) MRABAHA (TZS) ADA YA UKAGUZI (TZS) USHURU WA HUDUMA(TZS) JINA LA MNUNUZI NAMBA YA LESENI YA MNUNUZI STATUS FOMU NA. 3 <!-- page break --> FOMU NA. 4 UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION FOMU YA MAKABIDHIANO YA MADINI MINERALS PARCELS HAND OVER FORM
1. KUTOKA KWA 3. TAREHE FROM DATE
2. KWENDA KWA 4. UZITO WA JUMLA TO GROSS WEIGHT (CT,G,KG)
5. MAELEZO YA MADINI, NYARAKA NA LAKIRI MINERAL’S PARCEL, DOCUMENTS AND SEALS DETAILS A. MAJINA YA VIFURUSHI C. JUMLA YA UZITO PARCEL’S NAME TOTAL NET WEIGHT (ct, g, kg) B. UZITO WA MADINI NET WEIGHT (ct, g, kg) D. NAMBA ZA LAKIRI (L) L1. L2. L3. L4. SEAL NUMBERS
6. DHUMUNI LA MAKABIDHIANO PURPOSE FOR HAND OVER
7. MAJINA YA WAHUSIKA NA MASHAHIDI WA MAKABIDHIANO NAMES OF PERSONS AND WITNESS FOR HAND OVER A. MKABIDHISHAJI: HAND OVER PERSON: (JINA/NAME, SIMU/PHONE, CHEO/TITLE, SAINI/ SIGNATURE) B. MPOKEAJI: RECIPIENT PERSON: (JINA/NAME, SIMU/PHONE, CHEO/TITLE, SAINI/ SIGNATURE) C. SHAHIDI NA. 1: MWAKILISHI WA MAMLAKA YA MAPATO (TRA) WITNESS NO. 1: TRA REPRESENTATIVE (JINA/NAME, SIMU/PHONE, CHEO/TITLE, SAINI/ SIGNATURE) D. SHAHIDI NA. 2: MWAKILISHI WA IDARA YA USALAMA (TISS) WITNESS NO. 2: TISS REPRESENTATIVE (JINA/NAME, SIMU/PHONE, CHEO/TITLE, SAINI/ SIGNATURE) E. SHAHIDI NA. 3: MWAKILISHI WA JESHI LA POLISI (TPF) WITNESS NO. 3: TPF REPRESENTATIVE (JINA/NAME, SIMU/PHONE, CHEO/TITLE, SAINI/ SIGNATURE) 24 <!-- page break --> CHETI CHA UTHAMINISHAJI MADINI YA ALMASI FOMU NA. 5A UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION DIAMOND VALUATION CERTIFICATE NO. ____________________ DETAILS: Item Description(s): ____________________________________________ ____________________________________________ Item Identification: ____________________________________________ ____________________________________________ Item Weight: ____________________________________________ ____________________________________________ Item Content (For Parcel): Gem (%) ____________________________________________ Near Gem (%) ____________________________________________ Industrial (%) ____________________________________________ Provisional Value (TZS/USD): ____________________________________________ ____________________________________________ Provisional Value in Words: ____________________________________________ ____________________________________________ ____________________________________________ ____________________________________________ OTHER COMMENTS: ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ Dated ____________________________ At (Station)__________________________ __________________________________ __________________________________ (Signature and Designation of the (Signature and Designation of the Authorised Person 1) Authorised Person 2) Above given results are meant for the information only. The results in this report pertains only to the diamond(s) brought to Mining Commission Laboratory and not to any other diamond(s) of similar nature. These results were obtained using the techniques and equipment available at the time of examination. 25 <!-- page break --> CHETI CHA UTHAMINISHAJI MADINI YA VITO FOMU NA. 5B UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION GEMSTONE VALUATION CERTIFICATE NO. ____________________ DETAILS: Item Description(s): ____________________________________________ ____________________________________________ Item Identification: ____________________________________________ ____________________________________________ Item Weight: ____________________________________________ ____________________________________________ Item Content (For Parcel): Gem (%) ____________________________________________ Near Gem (%) ____________________________________________ Industrial (%) ____________________________________________ Provisional Value (TZS/USD): ____________________________________________ ____________________________________________ Provisional Value in Words: ____________________________________________ ____________________________________________ ____________________________________________ ____________________________________________ OTHER COMMENTS: ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ Dated ____________________________ At (Station)__________________________ __________________________________ __________________________________ (Signature and Designation of the (Signature and Designation of the Authorised Person 1) Authorised Person 2) Above given results are meant for the information only. The results in this report pertains only to the gemstone(s) brought to Mining Commission Laboratory and not to any other gemstone(s) of similar nature. These results were obtained using the techniques and equipment available at the time of examination. 26 <!-- page break --> FOMU NA. 6 UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION The Mining (Mineral and Gem Houses) Regulations, 2019 (Made under regulation 13) MINERALS TRANSPORTATION PERMIT NO. ____________ Permission is hereby granted to (full name) ------------------------------------------------------ a holder of License No. ------------------------------- of (full address) --------------------------- To transport --------------- package (s) containing (types of minerals) ----------------------- weighing a net weight of --------------- (tonnes/Kg/gm/carat/) Gross Weight --------------- (tonnes/Kg/gm). The minerals Weight (kg, gm, carat, ounces) Before ------------------- After ---------------- (smelting, cobbing and sorting or other value addition). The minerals were produced at ---------------------------------------------------------------------- (PCL/PML/SML/ML/Artisanal) Located at. ------------------------ District ------------------------ Region --------------------------- OR The minerals were bought at ------------------------------------------------------------------ (name of mineral market or buying station, refinery, Smelters, Lapidary). Date: From ---------------------------------- to ----------------------------------- (buying periods). Total values (TZS) ------------------------------- Royalty Paid (TZS) ----------------------------- CIF Paid -------------------------------------------- Receipt No. --------------------------------------- MC Seals No. --------------------------------------------------------------------------------------------- Transport of minerals from -------------------------------------------- (Mineral Market/Buying Station/Refinery/ PCL/PML/Refinery/Smelter/Lapidary) to ----------------------------------- (Mineral Market/ Buying Station/ Refinery/Smelter/ Laboratory) via -----------------------. This permit is valid for a period of ------------------------------------ days from the date hereof. Issued at ------------------------- this --------------- day of. ---------------------20------------------ ---------------------------------- ----------------------------------- Authorized officer’s name Authorized officer’s Signature and Stamp 27 <!-- page break --> FOMU NA. 7 UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION MINERALS SEALING FORM NO. ____________ MC/RESIDENT MINES OFFICE _______________________ Date ________________ Name of Mineral Holder License No. --------------------------------------------------------------------- Area ------------------------------------------------- District --------------------------------------------------- S/No. Net Weight Gross Weight Mining Commission Seal No. (Ton/Kg/Gm) (Ton/Kg/Gm) Mining Commission Officer Name Signature Government Institutions Witnesses S/No. Name Government Institutions Signature Mine/ Mineral Owner/ Representative Licence No. Signature Remarks: ------------------------------------------------------------------------------------------------------- ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- 28 <!-- page break --> FOMU NA. 8 UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION FINAL VALUATION AND PACKING LIST FOR MINERAL EXPORT Name of Mineral Rights Holder ----------------------------------------------------------- Licence No --------------------------------------------------------- Date: ------------------------------------------- Total Silver Silver Copper Copper Gold Gold Gold Price Silver Copper Bar weight Gold value (TZS) Silver (%) Price Value Copper (%) Price Value (%) (gm) (TZS)/gm (gm) (gm) (gm) (TZS)/gm (TZS) (TZS)/gm (TZS) 1 2 3 4 5 Total Total Value (Au, Ag, Cu and Others--------------) TZS Exchange Rate Royalty (6%) TZS Mining Commission Seal No. C. I. F (1%) TZS Net Weight Previous Paid Royalty & CIF TZS Gross Weight Difference in Royalty & CIF TZS Mining Commission Officer Name ERV No. for Paid Difference in Royalty & CIF TZS Signature GOVERNMENT OFFICERS WITNESSES S/N OFFICER NAME INSTITUTION SIGNATURE 1 2 3 29 <!-- page break --> FOMU NA. 9 The Mining (Mineral and Gem Houses) Regulations, 2019 (Made under Regulations 8) MINERALS DECLARATION FORM To: MINING COMMISSION I (full name) ------------------------------------------------------------------------------------ of (address) ------------------------------------------------------------------------- with contact (phone number) -------------------------------------------------------------. Hereby declare to possess minerals in accordance with the following particulars: - Weight No. Mineral Type Value (USD)/ (TZS) Royalty (USD/TZS) If Paid CIF (USD/TZS) If Paid Ton/ Kilogram/ Grams/ Carats TOTAL NB: The exact value should be confirmed by authorized valuer and a valuation form should be attached with this form The above stated minerals were obtained from: - (a) Importation of Minerals from outside Tanzania Mainland (State a Country) ………………………………………………………….. (b) Extracting of Minerals through mining activities (State a place of mining): -------------------------------------------------------------------------------------- (c) Other legal means (State the means): ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------ I have made in respect of the minerals stated a (payment in lieu of royalty) or (a provisional payment in lieu of royalty) of -------------------------------- (State the amount) and attach a copy of official receipt number ------------------------------------------------------------ dated --------------------------------------- and I declare that the particulars provided above are valid. The above stated minerals are to be stored at (state a place and address) or disposed for (state use) --------------- -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- This date ------------------------------------------------------- day of ----------------------- 20 ------------------- Signature of a Declarant --------------------------------- For Official Use Only: Remarks: --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Received by (Name of Officer) Received at (Office) Signed by (Signature of Officer) Dated on ----------------------------------------- ------------------------------------------------------------- ------------------------------------------ ------------------------------------- <!-- page break --> FOMU NA. 10 THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION REJESTA YA MALALAMIKO KATIKA SOKO LA MADINI (MINERAL MARKET COMPLAINTS REGISTER) MC/ OFISI YA RMO ……………………… Na. Tarehe Jina la Mlalamikaji Jina la Anayelalamikiwa Maelezo Hatua Zilizochukuliwa <!-- page break --> FOMU NA. 11 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MADINI TUME YA MADINI KIBALI CHA KUYEYUSHA MADINI YA DHAHABU (GOLD SMELTING PERMIT) Na………………….. Jina la muuzaji: Leseni Na: Namba ya simu: Tarehe: Uzito kabla ya Uzito baada ya kuyeyusha (g): kuyeyusha (g): Jina la Afisa Madini: Sahihi: Angalizo: Kibali kitarudishwa katika soko husika mara baada ya zoezi la uyeyushaji kukamilika ndani ya masaa 12 ya kazi. <!-- page break --> FOMU NA. 12 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MADINI TUME YA MADINI VOCHA YA KUTOA MADINI MWALONI KWENDA SOKO LA MADINI NA KITUO CHA UNUNUZI Jina la mmiliki wa mwalo Sahihi Namba ya utambuzi wa Tarehe Mwalo Jina la mmiliki wa madini Sahihi Simu ya mmiliki wa madini Wilaya/Kata/ Soko / Kituo – madini kijiji Mwalo yatakapouzwa ulipo Uzito wa madini ghafi (gramu) Zingatia Vocha hii itumike kupeleka Madini sokoni pindi uzalishaji unapokamilika ndani ya masaa (24) baada ya kutolewa. Vocha hii ibaki katika ofisi ya Madini iliyopo kwenye soko husika. <!-- page break --> FOMU NA. 13 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MADINI TUME YA MADINI FOMU YA OMBI LA KUHAMISHA MADINI Afisa Madini Mkazi, S.L.P…….., …………… Ombi Na:….……………… Mimi………………………………………………………………….mmiliki/mfanyakazi wa leseni kubwa ya biashara ya madini No. DL…………………………inayotumika katika soko la madini……………………….ninaomba ruhusa ya kuhamisha madini ya …………………..ndani ya soko la madini (Internal transfer of minerals) kwa mfanyabiashara mkubwa wa madini………………………………………………mwenye leseni No. DL………………… Madini haya yamenunuliwa kuanzia tarehe………………hadi…………..yakiwa na jumla ya uzito. Na. Uzito (g) Thamani (Tsh) Mrabaha (Tsh) Ada ya ukaguzi (Tsh) Mrabaha + Ada ya ukaguzi (Tsh) Ombi langu hili nimeambatisha na fomu za uthaminishaji madini kwa kila aina ya madini, stakabadhi za malipo ya mrabaha na ada ya ukaguzi, na nakala ya parking list yenye mchanganuo wa uzito, ubora wa madini na namba ya stakabadhi ya malipo ya Serikali (ERV). Saini ya mwombaji……………………… Tarehe………………………… ANGALIZO: Kama mwombaji sio mmiliki wa leseni, anatakiwa kuwasilisha nakala ya nguvu ya kisheria inayompa ruhusa ya kufanya maombi kwa niaba ya mwenye leseni (Power of Attorney) katika Ofisi ya Afisa Madini Mkazi kwa rejea wakati wote atakapokuwa anafanya maombi. <!-- page break --> FOMU NA. 14 UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION INSPECTION CHECKLIST FOR DEALERS AND BROKERS MINERAL MARKET/BUYING STATION...………............................MONTH………………………………….. A. LICENSE INFORMATION Name (Person/Company): License number: Office Number: Date Issued: Expired Date: Address: Phone Number: Date Issued: Expired Date: Mineral type (s) : B. EQUIPMENT AND FURNITURE Description Things to look for Compliance Comments Yes No Weight balance Certified by WMA Carat weighing scale Certified by WMA Gold densimeter Certified by WMA “XRF” Machine Is it calibrated? Calibration tools for Are they present? XRF Safe custody Is it secured? Table lamp Is it working? Gemological torch Is it working? Tweezer Is it working? Fire extinguisher Properly maintained? Furniture Are they present? C. LEGAL COMPLIANCE & DOCUMENTATION Description Things to look for Compliance Comments Yes No TIN Legal certification Room contract Legal certification Workers contracts Legal certification Are they properly recorded? Monthly returns Are they timely submitted? Mineral registers Are they well maintained? Are they skilled? Personnel Do they have signed ID’s? Foreign personnel Work Permit D. MINERALS IN STOCK Mineral type Unit Weight Value (TZS) Comments 1. 2. 3. E. OTHER FINDINGS NOTED <!-- page break --> Issue Comments F. OFFICERS CONDUCTED THE INSPECTION Name Signature Date 1. 2. 3. G. WITNESS OF THE LICENSEE Name Signature Date 1. 2. Signature & stamp of the licensee H. COMMENTS FROM RMO Dodoma Prof. Idris S. Kikula 03 Machi, 2022 Mwenyekiti wa Tume ya Madini <!-- page break -->