Taarifa kwa Umma: Kuanza kwa Ununuzi wa Dhahabu
Text as of 2026-09-28
Public law and official guidance, published as research. Not legal, tax or financial advice.
About this law
- Kind
- Other
- Number
- BoT press release file 2023092515195791
- Issued by
- Bank of Tanzania (Governor Emmanuel M. Tutuba)
- Country
- Tanzania
Where to read it
Text
The law's own text, section by section, as held. Each section has its own link.
<!-- page 1 --> BENKI KUU YA TANZANIA Or BANK OF TANZANIA 16 Barabara ya Jakaya Kikwete 16 Jakaya Kikwete Road S. L. P. 2303 P.O. Box 2303 40184 DODOMA 40184 DODOMA TANZANIA # za TANZANIA 7 = mjia 4 Ph : : 33 Simu: +255 22 223 3167 4 ona | one waji > 223 3167 Barua Pepe: botcommunications@bot.go.tz Email: botcommunications@bot.go.tz 25 Septemba 2023 TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UNUNUZI WA DHAHABU Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuanza kwa Mpango wa Ndani wa Ununuzi wa Dhahabu, unaolenga kuimarisha hifadhi ya fedha za kigeni kupitia upatikanaji na umiliki wa dhahabu. Kwa utaratibu huu, Benki Kuu itanunua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wa ndani na wafanyabiashara wa dhahabu kwa fedha za Kitanzania. Wadau wote wanaalikwa kushiriki kikamilifu katika mpango huu. ohh Emmanuel M. Tutuba Sep 25 2023 1:12 PM Emmanuel M. Tutuba GAVANA BENKI KUU YA TANZANIA