تخطَّ إلى المحتوى
Nelum
قوانين تنزانيا

Mwongozo wa Kusimamia Shughuli za Uchakataji, Uchenjuaji na Usafishaji wa Madini au Makinikia

النص بتاريخ 2026-09-28

القانون العام والإرشادات الرسمية منشورة بوصفها أبحاثاً. ليست مشورة قانونية أو ضريبية أو مالية.

البحث نفسه مكتوب بالإنجليزية. العناوين والوسوم مترجمة؛ أما النتائج والاقتباسات فغير مترجمة.

عن هذا القانون

النوع
أخرى
الرقم
-
الجهة المصدرة
Mining Commission; signed by the Chairman
الدولة
تنزانيا

أين تقرؤه

النص

نص القانون نفسه، مادةً مادة، كما هو محفوظ. لكل مادة رابطها.

  1. 1. Leseni ya Sheria ya Madini, Sura ya 123 (a) Kila mmiliki wa mtambo wa Uchakataji Kifungu cha. (60) (1) - (5) uchakataji wa Madini atalazimika kinaelekeza umuhimu wa kuwa kupata leseni inayomruhusu na leseni ya uchakataji madini kuchakata Madini katika eneo lakini wapo ambao hufanya husika iliyotolewa na Katibu shughuli hizo bila leseni. Mtendaji wa Tume ya Madini na usimamizi wa shughuli zinazofanywa katika leseni hiyo utafanywa na Afisa Madini Mkazi wa eneo hilo; (b) Mitambo ya uchakataji itakayojengwa ndani ya leseni ya utafutaji wa madini (PL); Mmiliki ana wajibu wa kutafuta ridhaa ya kusimika mitambo kutoka kwa mmiliki wa PL na pia atatakiwa kulipa ada ya mwaka pamoja na tozo nyingine kwa mujibu wa Sheria ya Madini.

  2. 2. Kupima uzito wa Sheria ya Madini Sura ya 123 Kabla ya kuomba kibali cha carbon zenye na Kanuni zake haijafafanua kusafirisha carbon zenye madini, madini kutoka suala hili mwombaji anawajibika kupima uzito kwenye column kutoka kwenye column za mitambo ya uchakataji na taarifa ya uzito ijazwe kwenye Fomu Na. 2 na nakala ya fomu hiyo ibaki kwenye Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa eneo husika.

  3. 3. Usimamizi wakati Sheria ya Madini na Kanuni Baada ya kuanza uchakataji, wa kugeuza zake hazijafafanua suala hili mitambo ya vat leaching plant carbon kwenye haitafungwa lakiri. Aidha, wamiliki column wa carbon zenye dhahabu pamoja na wamiliki wa mitambo ya uchakataji wana wajibu wa kuimarisha ulinzi wa mitambo na carbon na endapo itatokea upotevu au wizi wa carbon kwenye mitambo hiyo, wamiliki watawajibishwa kwa mujibu wa Sheria na watatakiwa kulipa tozo stahiki za Serikali kwa kiasi cha carbon kilichopotea (Mrabaha, ada ya ukaguzi na ushuru wa huduma). Kurasa | 3 <!-- page break --> NA. HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO Angalizo: Ufungaji wa lakiri kwenye mitambo ya uchakataji itafanyika endapo kutakua na uhitaji na taratibu zote zitafuata kwa kuhusisha taasisi shirikishi za Serikali.

  4. 4. Kibali cha Sheria ya Madini na Kanuni (a) Mmiliki wa vat leaching plant Usafirishaji wa zake hazijafafanua suala hili. atawajibika kuomba kibali cha carbon zenye usafirishaji wa carbon zenye madini kutoka madini kutoka ofisi ya Afisa vat leaching Madini Mkazi katika eneo lake. plant kwenda Maombi hayo yafanywe kupitia kwenye elution Fomu Na. 2. Aidha, mmiliki wa plant. vat leaching plant anaweza kuwatuma wawakilishi wake wawili ambao amewatambulisha na picha zao zimeambatishwa kwenye utambulisho utakaowasilishwa kwenye Ofisi za Afisa Madini Mkazi ili wapatiwe kibali cha usafirishaji wa carbon zenye madini. Zoezi la usafirishaji wa carbon zenye madini lisimamiwe na Afisa Madini Mkazi wa eneo husika kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama; na (b) Nakala ya kibali cha usafirishaji wa carbon zenye madini itabakizwa na kutunzwa kwenye jalada la mmliki wa mtambo wa uchenjuaji (elution plant) na nakala hizo zitakaguliwa na Tume ya Madini;

  5. 5. Muda wa kazi Sheria ya Madini na Kanuni (a) Usimamizi wa Mitambo ya zake hazijafafanua usimamizi uchakataji kwa maafisa wa Tume wa mitambo ya uchakataji ya Madini kwa kushirikiana na utakuwaje nje ya siku na muda vyombo vya ulinzi na usalama rasmi wa kazi za Ofisi za utafanyika katika siku za kazi Serikali. (Jumatatu hadi Ijumaa) kwa saa za kazi za Watumishi wa Serikali; na (b) Endapo usimamizi wa mitambo ya uchakataji wa madini utalazimu kufanyika nje ya muda na siku za kazi kwa mtumishi wa umma, Ofisi ya Tume ya Madini Kurasa | 4 <!-- page break --> NA. HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO kwa kushirikiana na Vyombo vya ulinzi na usalama watapanga na kukubaliana kwa maandishi utaratibu wa kufanya kazi nje ya muda wa kazi.

  6. 6. Aina ya gari Sheria pamoja na Kanuni Magari yatakayotumika kusafirisha litakalotumika haijaainisha ni gari yenye sifa carbon yenye dhahabu yanatakiwa kusafirisha zipi ambayo itatumika kuwa wazi upande mmoja (box body carbon yenye kusafirisha carbon yenye truck) na yatafungwa lakiri moja (1) dhahabu dhahabu. au mbili (2). B. USIMAMIZI WA MITAMBO YA UCHENJUAJI WA MADINI (ELUTION PLANTS) NA. HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO

  7. 7. Ufungaji wa lakiri Sheria ya Madini na (a) Mitambo ya kuchenjulia madini (elution kabla na baada ya Kanuni zake plant) ifungwe lakiri kabla na baada ya kupakia carbon haijafafanua suala hili. kupakia carbon zenye madini na ukataji zenye madini wa lakiri hizo utasimamiwa na Maafisa kwenye elution plant wa Tume ya Madini; (b) Ufungaji wa lakiri unatakiwa kudhibiti mianya yote ya udanganyifu kwenye mitambo ya uchenjuaji; (c) Uchenjuaji wa madini unapomalizika, mitambo hiyo ifungwe tena lakiri hadi pale mmiliki wa elution plant atakapotoa taarifa ya kupakia carbon mpya; na (d) Ofisi ya Afisa Madini Mkazi iweke utaratibu wa kukagua mitambo hiyo mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa hakuna mianya ya udanganyifu.

  8. 8. Ufungaji wa CCTV Sheria ya Madini na (a) Wamiliki wa mitambo ya kuchenjua cameras Kanuni zake madini wanatakiwa kufunga CCTV haijafafanua suala hili. cameras ndani na nje ya chumba cha kuchenjua madini; na (b) Ofisi ya Afisa Madini Mkazi inatakiwa kufanya ukaguzi wa CCTV footage zilizopo kwenye elution plants kwa ajili ya kuangalia uwepo wa viashairia vya wizi wa carbon zenye madini. Kurasa | 5 <!-- page break --> NA. HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO

  9. 9. Upakiaji na Sheria ya Madini na Afisa wa Tume ya Madini kwa kushirikiana ushushaji wa carbon Kanuni zake na maafisa wa vyombo vya ulinzi na kwenye elution hazijafafanua suala hili. usalama wanatakiwa kuwepo na column kusimamia zoezi la upakiaji na ushushaji wa carbon kwenye elution column za mitambo ya uchenjuaji.

  10. 10. Usafirishaji wa Kanuni za Masoko (a) Mmiliki wa madini ahakikishe kuwa madini kwenda hazijafafanua kipindi madini yaliyozalishwa yanafika sokoni sokoni kutoka ambacho madini ndani ya masaa 24 baada ya uzalishaji mtambo wa yanatakiwa kufika sokoni na Fomu Na. 3 itatumika kama kibali uchenjuaji (elution baada ya uchenjuaji. cha kusafirisha madini kutoka kwenye plant) mtambo wa uchenjuaji kwenda sokoni ndani ya mkoa baada ya zoezi la uthaminishaji wa awali wa madini hayo kukamilika; na (b) Ubora wa madini yaliyopatikana kutoka kwenye mitambo ya uchenjuaji utapatikana kwa kutumia mashine ya XRF, mzani wa maji au njia yoyote ambayo Tume ya Madini itaridhia.

  11. 11. Upimaji wa ubora Sheria ya Madini na Mmiliki wa mtambo wa uchenjuaji na wa carbon yenye Kanuni zake mmiliki wa carbon yenye madini wana madini hazijafafanua suala hili. jukumu la kutambua kiasi cha madini kwenye carbon kabla na baada ya zoezi la uchenjuaji kukamilika; na Utambuzi wa madini utafanyika kwa kutumia maabara zinazotambulika na kuthibitishwa na Serikali.

  12. 12. Uhakiki wa mashine Sheria ya Madini na Afisa Madini Mkazi atahakiki ubora wa ya XRF Kanuni zake mashine ya XRF mara kwa mara kwa hazijafafanua suala hili. kutumia standard zilizopo sokoni;

  13. 13. Uhakiki wa mizani Sheria ya Madini na Mizani yote itakayotumika kupimia madini Kanuni zake (weight na purity) ndani ya mitambo ya hazijafafanua suala hili. uchenjuaji/usafishaji ithibitishwe na Wakala wa Vipimo (Weight and Measure Agency);

  14. 14. Muda wa kazi Sheria ya Madini na (a) Usimamizi wa mitambo ya uchenjuaji Kanuni zake utafanywa na Maafisa wa Tume ya hazijafafanua usimamizi madini kwa kushirikiana na vyombo vya wa mitambo ya ulinzi na usalama na utafanyika ndani uchenjuaji utakuwaje nje ya muda wa kazi na siku za kazi ya siku na muda rasmi (Jumatatu hadi Ijumaa) kwa Watumishi wa kazi za Ofisi za Kurasa | 6 <!-- page break --> NA. HOJA CHANGAMOTO MWONGOZO Serikali. wa Umma; na (b) Endapo usimamizi wa mitambo ya uchenjuaji wa madini utalazimu kufanyika nje ya muda na siku za kazi kwa mtumishi wa umma, ofisi ya Tume ya madini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama watapanga na kukubaliana kwa maandishi utaratibu wa kufanya kazi nje ya muda wa kazi. FOMU NA. 1 UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION The Mining (Mineral and Gem Houses) Regulations, 2019 (Made under regulation 13) MINERALS TRANSPORTATION PERMIT NO. ________________ Permission is hereby granted to (full name) ------------------------------------------------------------------- a holder of License No. -------------------------------------- of (full address) -------------------------------------- To transport ----------------------------- package (s) containing (types of minerals) --------------------------- weighing a net weight of ------------------------- (tonnes/Kg/gm/carat/) Gross Weight ---------------------- (tonnes/Kg/gm). The minerals weight (kg, gm, carat, ounces) before --------------------------- after ------------------------- (smelting, cobbing and sorting or other value addition). The minerals were produced at --------------------------------------------------------------------------------------- (PCL/PML/SML/ML/Artisanal). Located at. ----------------------------------- District ---------------------------------- Region ------------------------ OR The minerals were bought at ------------------------------------------------------------------------------------------- (name of mineral market or buying station, refinery, Smelters, Lapidary). Date: From -------------------------------------------- to ------------------------------------------- (buying periods). Total values (TZS) ---------------------------------------- Royalty Paid (TZS) -------------------------------------- CIF Paid --------------------------------------------------- Receipt No. -------------------------------------------------- MC Seals No. --------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Kurasa | 7 <!-- page break --> Transport of minerals from ------------------------------------------------------------ (Mineral Market/Buying Station/Refinery/ PCL/PML/Refinery/Smelter/Lapidary) to ------------------------------------------------------ (Mineral Market/ Buying Station/ Refinery/ Smelter/ Laboratory) via ----------------------------------------- This permit is valid for a period of -------------------------------------------------- days from the date hereof. Issued at ----------------------------------- this --------------------------- day of. ---------------------20-------------- ---------------------------------- ----------------------------------------------------- Authorized officer’s name Authorized officer’s signature and stamp Kurasa | 8 <!-- page break --> FOMU NA. 2 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MADINI TUME YA MADINI HATI NA: MC/OFISI HATI YA MAOMBI YA KUSAFIRISHA CARBON ZENYE MADINI TAREHE Jina la Mmiliki wa Leseni Namba ya Leseni (ML/PML/PCL) Eneo Ulipo Mtambo wa Vat Leaching Uzito wa Carbon zenye Madini (Kg) Jina la Mtambo wa Elution Zinakopelekwa Mahali Ulipo Mtambo wa Elution Namba ya Gari itakayotumika Njia atakayopita Jina la anayechukua kibali Saini yake Jina la Anayeomba Kusafirisha Saini yake Mapitio ya Deni Ahadi ya Malipo ya Deni Jina la Mhasibu Saini ya Mhasibu Jina la Afisa Madini Mkazi (RMO) Saini ya Afisa Madini Mkazi (RMO) UHAKIKI WA KIBALI KWENYE ELUTION COLUMN KABLA YA KUANZA UZALISHAJI Jina la Mkaguzi Saini ya Mkaguzi Tarehe Tume ya Madini: Tume ya Madini Jina la Mkaguzi Saini ya Mkaguzi Tarehe Taasisi Nyingine ya Serikali: Taasisi Nyingine ya Serikali: KIBALI HIKI KITADUMU KWA MUDA WA SIKU SABA (7) KUANZIA TAREHE ---------------------------- HADI ------------------------------- TAFADHALI FIKA KWENYE OFISI YA MKOA NA TAARIFA YA UZALISHAJI YENYE TATHMINI YA MRABAHA NA ADA YA UKAGUZI (Processing form for elution plants) ILI UTENGENEZEWE HATI YA NAMBA YA MALIPO ITAKAYOTUMIKA KUFANYA MALIPO YA MRAHABA NA ADA YA UKAGUZI Kurasa | 9 <!-- page break --> FOMU NA. 3 UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF MINERALS MINING COMMISSION GOLD PROCESSING FORM FOR ELUTION PLANTS SN: MC -------------------------------- Name of Elution Plant Licence No. Location (Plant Holder) (PCL/ML/PML) Address/Tel Name of Vat Leaching Licence No. Location Plant (MPL/ML/PML) Address/Tel (Plant Holder) Carbon Delivery Note Carbon Weight Date No. (Kg) MC SEALS APPLICATION AND REMOVAL Column No. Carbon Weight (Kg) Seal No. Applied Seal No. Removed GOLD PRODUCTION AND SALES DATA Time Started ------------------------------------ Time Finished ----------------------------------------- Serial Wet/Dry Calcine Weight Raw Gold Purity Gold Price Gold Value (TZS) Payable Royalty Payable CIF Payable Service No. (g) Weight (g) (%) (TZS/g) (TZS) (TZS) Levy (TZS) Total Payable Royalty + CIF (TZS) Name of Mining Commission Officer Signature Date Name of Plant Owner Signature Date Name of Gold Owner Signature Date WITNESSED BY: 1 Signature Date :2 Signature Date :3 Signature Date Kurasa | 10 <!-- page break --> Dodoma Prof. Idris S. Kikula 03 Machi, 2022 Mwenyekiti wa Tume ya Madini Kurasa | 11 <!-- page break -->

Mwongozo wa Kusimamia Shughuli za Uchakataji, Uchenjuaji na Usafishaji wa Madini au Makinikia · Nelum